Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, August 8, 2009

FOR THOSE WHO DIDNT KNOW WELL NOW YOU KNOW..,,NURU- n the song is called MSELA

10 comments:

Anonymous said...

ooh! aksante mama, yaani hilo lilikuwa fikrani kwangu, ilikuwa imebaki kidogo tu nikuombe huo wimbo.
bonge la wimbo, bonge la video, location za kiukiweli

big up NUru

Atama Karapooo

NURU THE LIGHT said...

ahsante nashkuru yaani hamna video nillihave fun kushoot kama hii...,location ilikuwa poa sana na tulienjoy mpaka tukajisahau tuko kazini hahahhah...,msela na habbar ndo hiyooo..,

Yasinta Ngonyani said...

Nyimbo nzuri sana Nuru HONGERA mimi na familia yangu tumeipenda sana.

Mzee wa Changamoto said...

Nimeshakuambia mara nyingi kuwa UKO JUU NA UNA KIPAJI kwa hiyo sitasema tena. Ooops nimeshasema!!!
Nimependa mazingira na pia "urahisi" wa muonekano wako na mazingira uliyorekodia. Ni video ambayo haionekani kama itachuja kimuonekano maana imetengenezwa katika mazingira halisi. Kazi nzuri.
Lakini nina swali. Una mpango wa kurekodi nyimbo nyingine? Na katika kurekodi huko, unapanga kutumia ala (instruments) za asili? Mfano (na hii ni kwa mtazamo wangu) kutumia kama filimbi badala ya keyboard na pia vitu kama marimba na tu-congas. Kwa ujumla kutumia percussions huwa kunanifanya kuuona muziki UMEJAA hasa zinapotumiwa kisawasawa.
Lakini kama nilivyosema awali, ni wazo langu mimi na nimeuliza kama umewahi kufikiria hilo.
Zaidi ya hapo. UKO JUU

NURU THE LIGHT said...

YASINTA DADA YANGU AHSANTE SANA NASHKURU...,
CHANGAMOTO HIYO NI IDEA NZURI SANA NA AHSANTE KWA KUNIFUMBUA MACHO HAPO NASHKURU..,

Anonymous said...

Nuru me naomba kuuliza swali, kwani unaishi wapi? Huwa sielewi picha zako unazotoa time zingine inaonekana km uko ughaibuni ila huwa sielewi vzr. Samahani kwa kutoka nje ya mada, usinibanie naomba unijibu wangu. Kimsingi nakuzimia sn kwa fashion na huo wimbo umeheat ile mbaya. Keep it up!!!

PASSION4FASHION.TZ said...

Nuru unakipaji wewe basi tu nakuomba ukitumie vizuri utafika mbali sana,ni wachache sana waliobahatika kama wewe.

Nuru ile khanga nimeipenda sana bahati yako uko mbali, vinginevyo ingeingia mikononi mwangu ningeitundika kwenye blog ya Passion4fashion na tayari ningeipiga bei wala isingechukua muda hiyo, na summer hii ningeiuza kiulaini kweli kweli.Hahahahahaa fimbo ya mbali.....

NURU THE LIGHT said...

hahahahahhahahhahh passion4fashion umenichekesha sanaaaa ucjali lete size yako nawe nikushonesheee...,nashkuru sana mpenzi..,
anony hapo juu ucjali umeuliza kwa uzuri mimi nipo ughaibuni na nilihamia huku toka utotoni na mama yetu mzazi..,sema huwa nakuja nyumbani kila mwaka kufanya shughuli zangu za mziki..,

Anonymous said...

Kweli wewe mzalendo,ingekuwa mtu mwingine hapo hata kiswahili angejifanya hakipandi tena.....swahili not rechble hongera sana na asante kwa ukarimu wako we love u baby xxx.

NURU THE LIGHT said...

ahsante sana anony nashkuru..,mama yangu alinifunza kwamba ni muhimu sana kujua unatoka wapi n be proud of it.,hizo type zipo but thats their problem..,nashkuru tena na karibu tena...