Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, August 5, 2009

A FLOWER MADE IN TANZANIA CALLED NURU THE LIGHT...,LOL




8 comments:

Faith S Hilary said...

A true flower! Luvin ya dress!

Anonymous said...

ninachokupendea ni hapo tu.kila siku sum thin new.kip it real

Anonymous said...

we ni ua linalochanua hata jangwani, yaani hata jua kali mfukoni. mwayego wewe ni mzuri na unavutia katika mazingira yoyote, nyumbani hata ufukweni, kijijini hata mjini. unapendeza sana. wewe ni bonge la modo.ungekuwa wimbo ningekupa mic 5, ama nyota 5. endelea kuwakilisha

pamoja sana

Atama karapoo

Anonymous said...

nimependa hiyo tit ulivyo metisha na pazia na viti na mistari ya brauzi, harafu hicho kisweta kwa mbali na majani ya miti yanayo chunguli, miwani na mkoba na cheni iliyotiririka taratibu katikati ya kifua. ha! ha! ha! haaaaaaaaaaaaaa! umekosa kaua ka njano kimtindo kichwani........

ila umependeza mwaya ! ngoja haterz tukuonee donge.......

ni hayo tu

Atama karapoo

Japan

Anonymous said...

hey nuru...i'm loving ur blog,its one of my daily must-see
anyway i got a small request or rather a question-pliiz show different fashion trends 4 us tall and slim gals-i'm one of them
i'm in love with high heels bt my biggest fear is that i become too tall once i'm in heels and i think i look like some kind of a giant
and the biggest problem is i become even taller than my guy smthin which meks me feel less feminine when i'm with him and in heels(hope umenielewa hapo)
so pliiz i'm lukin forward u show some fashion trends 4 gals like me!tufanyaje?should we always opt 4 plumps and flaties?plii i need ur help coz ur a 1 true fashionista and kip up the good work gal..

Yasinta Ngonyani said...

Nuru hapo umesema ndugu yangu. Safi sana

Anonymous said...

You look beautiful in anything you wear,maybe it's the
way you pose and represent yourself. Mmm.. Mmm....

NURU THE LIGHT said...

candy thnks...,
atama karapooo umeniacha hoi kwa maneno yako nashkuru sanaaa na haters tunasubiri comments lol...,Yasinta dada yangu nashkuru na anony hapo juu..,
TALL GIRL NITAFANYA HIYO HOMEWORK lakini dont stop wearin heels sawa..,