huyo hapo juu si ungesema hata kisukuma! hii kutumia lugha za kigeni wakati blog ni ya kimatumbi mi naona kama ni ulimbukeni! na sisi kwa kuwa tuko arabuni basi na tuanze kuandika kiarabu au kiirani humu!
Pili, Nuru kumbe na huko kuna magugu maji kama ya ziwa victoria? maana imenikumbusha sana home, rock city
2 comments:
Det ser ut som du har jätte trevlig. ok ha det kram...!!

Post a Comment