Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, July 29, 2009

THE EVERYDAY LOOKS...,


MY MTUMBA SKIRT...,REMEMBER THAT WHITE SNEAKERS LOOKS GOOD ON ANYBODY...,AND GIVES YOU A FRESH KINDA LOOK..,
7 comments:

Anonymous said...

umependeza mpenzi...tena sana tu-hongera

Anonymous said...

Nuru the light am your no. 1 fan but katika siku zote unazopost picture zako hizi za everyday looks ndio the best kwangu mimi especially hii ya white sneakers na hii ya max dress Black hakika wewe ni mrembo wa nguvu apart from all your so cool.
tufundishe na kina yahe how to dress in everyday and wakati wa mtoko hata na mitumba yetu tu.

Much love

Anonymous said...

i love ur mtumba skirt...lol!!! Nuru u look fab girl, keep up!

Candy1 said...

I luv how ur shades frame matches ur outfit (the last one). nice!

NURU the light said...

mtumba skirt ni nomaaaaaaaaaa yaani nyie acheni tu...,mimi am here for u my ppl a siku hizi mitumba unaweza pata vitu kibao na tofauti kwahiyo kumbuka ubunifu ndio kitu muhimu when it comes to fashion,,,.shukran kwa wote

Anonymous said...

dada naomba uniambie hiyo miyumba yako unainunulia wapi au basi tupange tukutane ukanichagulie imean unionyeshe ninunue nini na jibsi ya kupangilia mwaaaaaaaaaaaaahh i love the black maxi dress i think its gorgeous .

NURU the light said...

ahsante mdau well u can email me kama kuna kitu special unataka na i think labda nianze mambo ya kuwa a personal shopper..,