Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, June 26, 2009

Words cannot express the sadness am feeling right now,We have lost one of the best so Rest in Peace Michael Jackson and I will always love you.,


8 comments:

NURU the light said...

today i wanna be the first yaaani nimesikitika sana niliposkia kifo cha msanii huyu MJ.,Mj is a legend and truly wev really lost one of the best..since 1983 hakuna msanii ambae ameuza album nyingi kama michael jackson n that my friend is history itself.,Mungu akulaze pema.,

Yusuph Mzimba said...

Nuru acha tu yani,nilikuwa kwenye gari naenda kazini wakatangaza hospitilized nimefika kazini baada ya dakika tano nikapata sms na call kwamba Michael amefariki mara baada ya muda nikaambiwa hajafariki yuko kwenye comma heeee baada ya dakika kama 2 naaambiwa amefariki kweli kuhakikisha nikaenda cnn ikawa ni kweli.Nuru huyu Michael ananiuma sana yani najaribu kusahau lakini wapi!?.Nakubaliana na wewe hakuna Beyonce,Kanye,Lil Wayne Neyo wala nani kwa MJ,Human nature,You are Not alone,Heal the world,We are the world,You rock my world bila kusahau nyingi nyinginezo hasa thriller.Mdogo wangu ana kanda za huyo jamaa karibu zote anavyompenda utadhani kazaliwa 60s au 70s kumbe ni wa 90s.Samahani Nuru leo nimeandika sana nisiwachoshe kwa kunisoma mimi peke yangu ila ni vile jinsi nilivyoupokea msiba na ulivyonigusa.Acheni jamani kifo mmmh.Inabidi tuwe tayari tu kwa muda wowote kwani hatujui saa dakika siku mwezi wala mwaka.Mungu ilaze roho ya marehemu Michael Jackson pema peponi,Amein

Candy1 said...

we r all dear. RIP MJ

Anonymous said...

RIP.WACKO JACKO,LOVE YOU LOTS.

http://www.pichazakidunia.blogspot.com

NURU the light said...

YUSUPH YAANI KAMA MIMI NA MIE NILIKUWA NAPATA DIFFERENT REPORTS ALL THE TIME MPAKA JANA USIKU NIMESHINDA TIZAMA CNN..NA LEO PIA AM WITH CNN SINA HATA HAMU YA KUBLOG BCOZ ITS SO UNREAL..,KWELI WATU TUANZENI KUISHI BECAUSE HATUJUI KIFO KINAKUJA LINI..,AHSANTENI

Yasinta Ngonyani said...

Yeah Nuru! kifo ni kitendawili ndugu yangu.

Yusuph Mzimba said...

Tumuombee

NURU the light said...

kweli kabisa mungu kamchukua...,i miss him n i will always love him