She started of as Miss March and now she is playmate of the year.Born in Tanzania Ida is the first african to ever win this title.Nuru salutes you
4 comments:
Anonymous
said...
well well,isn't so funny?she doesn't have any natural beauty,she had beast implant,she had a dirty past life,am not here to judge but from a established back ground,full of money but she still did sexual acts for payment,is such a good example?what i see in her is that ni mtu amaye hatosheki o am not really saluting her afterall she did nude photos for playboy,what a losser,i mean she has no dignity
ANONY INAMAANA WEWE UNAMFAHAMU ida ljungkvist na historia yake maana naona umeandika kama vile unamfahamu..halafu one thing IDA IS BEAUTIFUL NATURALLY HATA TUSEME NINI UZURI NA SHEPU ANAYO KWA SISI AMBAYE TUSHAMUONA LIVE..JAMANI KWANINI TUNAPENDA KUWA SO NEGATIVE INSTEAD KUUMPA MTU SIFA ZAKE..kama hupendi alichofanya sawa lakini why hate on the girl..,
Ushauri wa bure: Ukitaka blog ifanikiwe usibishane na comments za watu. Waache wabwabwaje wanavyojiskia, wengine watawapinga na mjadala utaendelea. Sasa kama huyo umembisia hakuna mwingine mwenye hayo mawazo ataandika, na, hawatajisumbua kufwatilia issues zingine.
Naona unajitahidi kuzuia na comments, ila nashauri kama mtu hajaongea matusi, waache tu watoe mawazo yao. Dont take things personal unnecessarily.
About huyo bibie, ye anajitambua kama Mswidi, hio issue ya Utanzania inatoka wapi??
Ila kupiga picha uchi ni AIBU. We all know that. She is cute though.

anony thats " breast implants " get your shit 2 gether HATER...HIHIHIHI

Post a Comment