Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 16, 2009

ITS THE MAN EDITION..,guys i feel like iv neglected you for a bit.these two guys below are killin it,dare to be different


10 comments:

Master Taji said...

Yes!!
Nilikua natafuta hizo digs kwa muda mrefu sana! Nuru, hao jamaa wamenunua kwenye "flea market' ipi? Ulaya ama US?
Hey gal!! Tupe Men Edition serious kweli basi!! Like aina za shirts and ties out right now after winter!
Taji

Anonymous said...

This is insanity, or is it just my lack of "an eye for fashion"?

NURU THE LIGHT said...

zinakuja mtu wangu usijali..this was taken in L.A,,SHIRTS N TIES R COMIN LOVE

NURU THE LIGHT said...

ANONY..NO ITS NOT A LACK OF AN EYE FOR FASHION..maybe u r not feelin this look n its ok love

Yasinta Ngonyani said...

Kumbe huna ubaguzi:-)

NURU THE LIGHT said...

kabisaaaaaaaa niko pamoja na woteee

Yusuph Mzimba said...

Nuru mamabo?!,usinicheke yani mimi hizi suruali ni tofauti tena kabisa kuna rafiki yangu anazo huwa akivaa me huwa sina mbavu,naona zimekaa kifeminine(samahani kwa neno hilo).Ila ndio fashion.

NURU THE LIGHT said...

no walaa bila samahani.fashion inaconsists so many looks n trends kwahiyo everyone lazima achague pendekezo lake n remember dont be a fashion victim we are suppose to enjoy fashion kwahiyo kama hizo suruali we unaona feminine just vaa nyengine and rock them aswell au sio yusuph..mimi nakupendea ukweli wako..much love

Yusuph Mzimba said...

Thanks Nuru

NURU THE LIGHT said...

no thank u yusuph kwa kunitembelea