Friday, July 21, 2017

HOPE IS A START OF ALL THINGS AND YOU NEVER GAVE UP MILLEN AND AM SO HAPPY FOR YOU MAMA KAIRO!!!





4 comments:

  1. waaaaaaaooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    am so happy for her
    hapana chezea Mungu, anajibu kwa wakati wake
    may God bless her new baby na kumlinda milele
    hongera zake Millen

    hii ndio inaitwa NEVER GIVE UP ON GOD, DONT STOP PRAYING AND THANKING HIM
    mi huwa najisemeaga moyoni mwangu
    KILA JAMBO LINA KUSUDI LAKE,

    Amenifanya nimmepende ALMIGHTY GOD ZAIDI NA ZAIDI

    ReplyDelete
  2. Am happy like a fool jamani she deserve to be this happy maana alishakata tamaa long time haswaaa. Mungu ni mwema kila wakati

    ReplyDelete
  3. Allah Akbar!kukosa mtoto kusikie tu hasa ukiwaunahitaji...Ya Khaliq Ya Bari Ya Mussawir Tukumbuke nasisi wengine katika Ufalme Wako Ya Rabbi.Mwamini

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Mama Kairo hakika Mungu ni mkuu. Mungu awalinde wape Afya njema

    ReplyDelete