Tuesday, June 13, 2017

Yaliyojiri!!!






 Inakuwaje aliyehusishwa Kwenye ripoti ya mchanga jana Leo yuko Bungeni?


4 comments:

  1. hhahahahahahha!!!!!!!!!!!!!
    jmn jmn tuwe makini nowdys mana mkulu jana alisema we watoe nje ya bunge na wakiendelea kuongea nje atadili nao
    hii ina mana sio wabunge tu bali hata sie wananchi tuwe makini na ongea yetu
    utashangaaaa jela inajaa watu wa makosa ya mitandaoni
    #mmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!
    #ngojaninyamaze
    #mienitaongeleachoonimanakulehakunamtu

    ReplyDelete
  2. Faiza mmmmhhhhh, ngoja nipite tuu. Huyu Dada akili zake anazijua mwenyewe

    ReplyDelete
  3. Am in love with fauna words dunia imechange sana Mabinti wamegeuka mafisi wa haswaaa

    ReplyDelete