Wednesday, June 7, 2017

SOMETIMES YOU JUST GOTTA LET GO AND LIVE IN THE MOMENT,CARPE DIEM!!!




EVERY ASPECT OF EARTH HAS A PURPOSE.,
GOD DID NOT MAKE A MISSTAKE WITH HIS CREATION BUT HUMANS CAN!T SEEM TO COMPREHEND THAT AND ARE WILLING TO CHALLENGE HIS CREATION,,
QUESTIONING IT IS ONE THING BUT CHALLENGING IT WITHOUT UNDERSTANDING AND RESPECT FOR HIS CREATION THAT IS WHAT IS GOING TO BE OUR DOWNFALL IN THE END,AM CARPE DIEMING!!!














 GOD MORGON..,
 YOOO LAST NIGHT WAS BOMB.,,
 TUKALIAMSHA DUDEEEEEE..,
 ACHENI KAMANDA AITWE KAMANDA KWANI ALILALA MASAA 2 NA BADO YUKO HYPER!
I SLEPT 4HOURS BUT COMMANDER SIRRO ONLY HAD 2HOURS AND STILL WAS HAPPY AS A BIRD IN THE MORNING..,

 HATUHANG NA WEWE KWASABABU YA UWONGO NA UMBEA,KWASABABU MOJA TU YA UWONGO NA UMBEAAAAA YA UWONGO NA UMBEAAA,,O.M.G YOU KILLED IT!!

Kwavile nilikaa na Chrochet mda mrefu nywele zilikatika sana sitorudia tena kukaa sana nikisuka tena pia itabidi nikakate kidogo kumbukeni ni muhim sana kukata ncha ili nywele zikuwe.,









IT WAS WINDY AS HELL...,





MJ AND I WE LIKE OUR FANTA WITH NO ICEEEE..,








RETAIL SHOPPING OR PERFUME SHOPPING NEVER HURT NOBODY!!

MJOMBA TORRES GOT ESCADA FOR WIFEY,,




 DAY2 SHOPPING BEFORE HAPPY HOUR,,AISEE HILI BOTI KAMA WEWE NI MNYWAJI HAUTAJUTRAAA,,USHAWAHI ONA BUFFET YA BREAKFAST WANASERVE BEER NA WINE,,







YAANI SISI KAMBI POPOTE,,
 HATULALI LAKINI HATUKESHI HAHAHAHAAH..,

        BAG;DKNY    SHOES:RIVER ISLAND  JACKET:MANGO   SCARF;MADE IN TANZANIA
THAT!S ALL FOR TODAY FOLKS,I HOPE I SEE YOU TOMOR!!!

9 comments:

  1. Aisee cruise lazima niweke kwenye Bucketlist,inaonekana ni Fun mwanzao mwisho

    ReplyDelete
  2. Mmependeza sana na mnaenjoy ever yani mbaka jelous

    ReplyDelete
  3. Such cool outfit, I love the shoes..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unavitaka? ?
      Wa me enjoy . Ila nuru mlichukua chumba kimoja tu na kk zako na mj omba? ?vipi kwenye kuvaa. Kuna kulewa najua gå safari za boti nikiwa Finland

      Delete
  4. Hilo gauni nzuriii. Sipati picha Mikey Mike angekuepo. Ila nyie watu mnajua ku-have fun. Hongereni

    ReplyDelete
  5. Mmmmmmmmh sio kwa raha hizo lo!unanitamanishaaaa natamani mwaliko wakuja ulaya hata 3days tu hahahaaa.

    ReplyDelete
  6. umependeza Nuru narudia rudia kuangalia pics jinsi zinaonyesha mlivyoenjoy na ndugu zako. hicho kiatu nimekielewa vizuri

    ReplyDelete
  7. hivi da nuu we n wa nchi ya Tz kweli au mana sio kwa unywele huo jmn
    mwarabu si mwarabu, mzungu si mzungu, mchina si mchina, ila mtz mmhh no hii haikufai coz uko na roho ya peke yako,,,,,
    nimependa kila kitu kwako

    ReplyDelete
  8. Suzana mwenzio huyo bongo bahati mbaya tu kwao Asia hahaaaaaa.!.

    ReplyDelete