Thursday, June 8, 2017

Pale Upele Unapopata Mkunaji,Shkamoo Ushamba!!!

Namnukuu Harmonize;Unajua kuzaa ni sawa lakini kuzaa na Mzungu ni kitu kingine,Tumbavuuu Gete!!

Steve Angepewa urefu wa Denzel Washington basi tungeisoma Namba
Wapi imeandikwa kutongoza ni Sunna,but hes funny in his own way😃😃😃

6 comments:

  1. Hahaaaaaa nimecheka Nuru eti tumbafu gete!umenikumbusha home lo!.

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo mzungu ni binadamu wa Tofauti?waafrica bwana sie tunamambo.

    ReplyDelete
  3. Halafu mzungu mwenyewe muitaliano got damn it elimu nayo muhim sana

    ReplyDelete
  4. hahhahahha!!!!!!!
    eti muzungu mwenyewe ni muitaliano!!!!!, nipe sifa zao basi nijue mana mie ni mshamba
    ila ndio ameonyesha kuwa tz tuko nyuma, tumbavuuuuuuuuuuuu geteeeeeeeeeeeeee(nimenukuu), ameona mzungu ndio kila kitu, ngoja azaliwe mchina,

    ReplyDelete
  5. ha ha mwacheni dogo from Mtwara hadi kuzaaa na mzungu mwacheni achanganyikiwe jamani

    ReplyDelete