Sunday, June 11, 2017

I DID IT BY MYSELF,THE AFRICAN KINK BULK CROCHET!!!














Nimetizama different crochet tutorials youtube nikajifunza nikasema let me do it And I did It!!

8 comments:

  1. We kiboko.hongera umeweza nywele za ndani pia umesuka mwenyewe?

    ReplyDelete
  2. Duuuhh were ni noma. Hongera sana Nuru

    ReplyDelete
  3. Congrats my dear!!...CinTea

    ReplyDelete
  4. da nuu hongera sana tena sana
    aiseee m mwenyewe huwa natamani kujaribu ila nina bichwa kubwa hadi nikitafakari naona uvivu mana kulimaliza si kwa siku moja

    ReplyDelete
  5. kha hongera ila mie naona ukiwa nje ya nchi wajifunza mambo mengi kufanya mwenyewe ila ukiwa Tanzania hata kutoka out alone huwezi

    ReplyDelete
  6. pendeza utazani umeshonea saloon ila hapo mi mikono ingeumaje. ndio raha ya youtube sasa mambo mengi tunajifunza huko

    ReplyDelete
  7. Youtube ni shule tosha kama nia yako ni kujifunza..
    Zote nimesuka mwenyewe hata mistari na mistari ndio mpango mzima kujua style unayotaka maana utakuwa unafatilia hiyo mistari ya twende kilioni to get The style of your choosing..
    Bongo kila kitu magrupu...

    ReplyDelete