Wednesday, June 14, 2017

DONT FOCUS ON THE HATE BECAUSE THE LOVE IS SO MUCH MORE REWARDING,TODAYS!!
















PleatedSkirt:MQ    Bag:DKNY   Shoes:UK   Blouse:Vila  Earrings:Glitter  Mcgreggor Shot It!

9 comments:

  1. JMN DA NUU UMEPENDEZA KWELIKWELI
    i love the skirt kwa kweli
    iko poa

    ReplyDelete
  2. Nuru mbn we huzeeki,hunenepi nipe siri yamafanikio me natamani nipungue hata Kg 5 tu.

    ReplyDelete
  3. Looking good as always. Nimependa nywele

    ReplyDelete
  4. Picha za mwanzo twin towers zimerock...kidding.!mwamini

    ReplyDelete
  5. Umependeza Nuru hizo hereni ndio nimeziona vizuri

    ReplyDelete
  6. Ujumbe nimeupenda
    Na pia usisahau
    Don't focus on negative things; focus on the positive, and focus on the positive, and you will flourish.

    ReplyDelete
  7. ha ha i love the twin tower hapo mwanzo the skirt is the bomb shell

    ReplyDelete
  8. Thank you all and Comfort nitafanya a special segment usijali

    ReplyDelete
  9. yani da nuu usimuache huyo mpiga picha wako mana anajua kukupatia kweli
    inachukua pozi nzr sana

    ReplyDelete