Saturday, May 20, 2017

Yaliyojiri!!!






I really do not get this Man anymore or The poilticians anymore?
When did this became about you na sio wafiwa?
Where did all off you lost your way na kusahau kuwa kuna wamama,baba wa watoto waliopoteza watoto na ndugu huku nyie mmekaa na kukigeuza hiki kilio kwa manufaa yenu wakati  wazazi bado wanalilia watoto wao are you fucking serious?
Hivi utu wenu uko wapi jamani?
Haijatosha mmechukua michango yao bado mnashindwa hata kuwapa a peace of mind waweze kuombeleza watoto wao in peace,shame on you!

8 comments:

  1. mi nilisema umu ndani kuwa hz fedha hazitawafikia walengwa
    na kama zikiwafikia bas sio zote zilizotolewa na wabunge
    ila huyu gambo nahisi sio mzima kwa ubongo wake
    au hajawahi kufiwa na mtu wake wa karibu
    anatoa wazo la kifala kweli eti zijenge hospital
    natamani nimpige kwa fimbo ya mbali hovyoooooooo

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo wasingepata ajal hao watoto hospital isingekarabatiwa?viongozi wengine buana.

    ReplyDelete
  3. HII NDO TZ KAMA.
    MAGUFULI ALISEMA HELA ZA MAAFA YA KAGERA ZIJENGEE NYUMBA ZA SEREKALI.
    SIO NI AJABU NA HII NCHI
    KUFA KUFAANA .UTADHAN MNATOA KAFARA MTAJIRIKE AU MTENGENEZE VITU VYETU
    WEHUUU

    ReplyDelete
  4. Yaani sijui wengine ni wagumu kuelewa ama..sometimes hili suala naona kama narudishwa shule kwenye somo la hesabu au fizikia...sielewi..watanzania,viongozi wetu hatujui wapi kwa kutafutia kiki..hatujali maumivu ya wenzetu..Mungu Tuongoze!

    ReplyDelete
  5. Yaani sijui wengine ni wagumu kuelewa ama..sometimes hili suala naona kama narudishwa shule kwenye somo la hesabu au fizikia...sielewi..watanzania,viongozi wetu hatujui wapi kwa kutafutia kiki..hatujali maumivu ya wenzetu..Mungu Tuongoze!mwamini

    ReplyDelete
  6. viongozi wengi wa nchii shule hakuna, wanapitishwaga tu na staili yao ya kujuana na wengine ni vimbelembele font ndio wanatapata hzo nafasi
    yani kiongozi wa nchi hata gugo haijui
    wala gugo wenyewe hawamtambui
    tchhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
    nchi inatawaliwa na viongozi wasiojua umaaana wa utu,
    baina ya viongozi hakuna upendo sasa ndio tutegemee watatupenda sie wananchi wao>>>>>>>>

    ReplyDelete
  7. Yani nashikwa hasira hata nikiona tu hiyo picha yake hivi kweli aliomba watoto wafe apate hela za kukarabati hosp. jamani wengine wakaona michango haifiki wakaona wapeleke wenyewe kawaweka lokap na pesa hajawapa sio haki na sio ubinadamu kutumia vifo vya watoto kwa mambo kama haya na hata waliochanga walichanga wakijua michango itawafikia walengwa. tunajua ni jinsi gani unafisadi hela za wafiwa iko siku YATAKUFIKA GAMBO kama unaona ni fahari sana kitu unachofanya

    ReplyDelete