Wednesday, May 24, 2017

What The Hell!!,

Susana naomba uje umchukue shoga yako!!
Eatv

5 comments:

  1. Sijui ni pombe me hata sielewi.kuna watu wanapata watoto kwa bahati mbaya sijui au ndy umri sijui lo!Mungu amsimamie Tamari.

    ReplyDelete
  2. waaaaah 6 months and she is clubbing?????? uiii jamani jamani I feel sorry for the kid, sio baba sio mama! what the fu**!!!! loooh

    ReplyDelete
  3. Shoga wa Suzan ushauri kapewa kashindwa kuutekeleza sasa tumwache na yake

    ReplyDelete
  4. kusema kweli now days wadada wanapata watoto wakihope for Good life kwa wahusika pale wanapoya kosa wanarudi tena kubahatisha wengine . kwa mtu anayejitambua hawezi fanya huu ujinga kamwe its rit moment serikali waingize somo la kujitambua mshuleni..............

    ReplyDelete
  5. kwa kweli hana nidhamu hata nukta huwez kuwa mzazi wa mtt wa miez 6 afu uko club unajiachia
    ni ujinga na upumbavu tena ni kukosa maadili from wazazi
    ningekuwa n yang D ningemzaba vibao kwa kumuacha mtt na hausigel
    shh..................yyyyyyyyyyy kabisaaaaa yani nilitamani niiingie kwa youtube nimzabue kdg
    afu eti tuko sawa tu
    ndio mana wanasema think before u act,
    da nuu ameniboa kweli huyu binti

    ReplyDelete