Mie sijui siasa basi inanichanganya aaĆ . Nahisi kama nimepewa mtihani na sijasoma. Sofia simba ataendelea kuwa mbunge au???Makonda mbona kasahauliwa
Sofia hawezi kuwa mbunge atleast sio wa ccm maana amefukuzwa kwenye chama mpenzi..
Asante Nuru! Daah imeniuma jamani . Tunaelekea wapiii?Watafika kweli waso nasauti. Nadhani kuna umuhimu wa Tanzania kuleta mageuzi bila hivyo . Waloshika mpini Watawamalizia wote.U naamka ghafla unaambiwa huna kazi.
Visasi.comPolitic dirty game
Mie sijui siasa basi inanichanganya aaĆ . Nahisi kama nimepewa mtihani na sijasoma. Sofia simba ataendelea kuwa mbunge au???
ReplyDeleteMakonda mbona kasahauliwa
Sofia hawezi kuwa mbunge atleast sio wa ccm maana amefukuzwa kwenye chama mpenzi..
ReplyDeleteAsante Nuru!
ReplyDeleteDaah imeniuma jamani . Tunaelekea wapiii?
Watafika kweli waso nasauti.
Nadhani kuna umuhimu wa Tanzania kuleta mageuzi bila hivyo . Waloshika mpini Watawamalizia wote.
U naamka ghafla unaambiwa huna kazi.
Visasi.com
ReplyDeletePolitic dirty game