Magufuli kama anaangalia hii halali. Maana alikuwa anatupa mawe gizani alipo ongea na Diamond. Alianza kusifia watoto a kamaliza wasanii at awasaidie na hao bongo movie pia. Mwache ni aingie kwa KUJIAMINI. Yuko jasiri kapitia Mengi. Tanzania ukiwa na wa kukusimamia ingia kwa kujiamini kama Bashite na cheti hana
Kweli mbwembe za Wema!!.
ReplyDeleteNa hizi mbwembwe za Wema!!
ReplyDeleteIla huyu binti seems to be funny
Watanikamataa!
ReplyDeleteMagufuli kama anaangalia hii halali. Maana alikuwa anatupa mawe gizani alipo ongea na Diamond.
ReplyDeleteAlianza kusifia watoto a kamaliza wasanii at awasaidie na hao bongo movie pia.
Mwache ni aingie kwa KUJIAMINI. Yuko jasiri kapitia Mengi. Tanzania ukiwa na wa kukusimamia ingia kwa kujiamini kama Bashite na cheti hana