Saturday, February 4, 2017

BASI SAWA!!






5 comments:

  1. kwa upande wangu mi naona yuko sawa kiasi flani
    ni kweli hata ukiangalia kwa vipindi vya tyra utaona kuwa wengi wa model hakuwa warembo kivile na pia wako warefu
    n mtazamo wangu

    ReplyDelete
  2. Tutolee fujo hapo, umeongea unachopenda. Wewe na Calisah wote sawa pigeni kazi au kwakuwa wewe uko south...
    Hamissa anafaa kuwa model inategemea anafanya nini kwani alikwambia anataka kwenda kushindana na kina Didi Haid au Kendall Jenner
    Kwa mtazamo wangu,, yes she can!!!!!
    AM....

    ReplyDelete
  3. kasema wazi kabisa nimependa .... vigezo muhimu watu wanakuruuka tu model ...ok in what?

    ReplyDelete
  4. da nuu, watz hawajui kuwa kuna vipengele mbalimbali kama unataka kuwa model
    sasa inategemea na wewe unafaa kwa kipengele gani
    watz muwe mnagugo basii
    unaona hamisaa anafaaa coz hujui mambo ya modeling so please nyamaza
    kuna model wa matangazo ya urembo,biashara,mavazi,magazine n.k
    nimekupa hayo ili ugugo
    shule sometime muhimu ili kuondoa ujinga sio lazima wote tuwe tuna phd o masters

    ReplyDelete
  5. afu kwa kukusaidia mcheki flavy na miriam na millen
    ni model wa kimataifa sio kwa kuwa ni model ndio wakaenda tu
    wana vigezo vya kimataifa na ndio mana wameweza kufanya kazi na makampuni makubwa
    huyo hamisa wako kwanza ni mfupi na pia anaput too much makeup
    model hatakiwi kuwa na makeup nying

    ReplyDelete