Monday, February 6, 2017

AND THE SAGA CONTINUES!!!

Bongo5.com

1 comment:

  1. Elimu Inahitajika Tz
    Watu wasome mambo ya
    psychitri
    Psychologi
    Alcohol abuse
    Na jinsi ya kuwa thamni
    Na kuwatrit.
    Asante Sweden
    Nilipokuja nilijua vichaa wote ni vichaa . Nikajikuta nasoma kwa undani masomo hayo " fördjuping kurs"
    Nikajua schizophren na bipolar tofauti yake.
    Ni kaanza kazi General psychiatr....
    Nimejua thamani ya watu . U muhimu wa mtu awe na afya au hana.
    Niemweshimu ha kumwangalia na kuongea nae huyo mgonjwa kama mzima
    Tz tunahitaji Vipindi vya Dr phil .Alcohol abuse nk
    Ukifatilia sana unagundua elimu ziko chinii . Mtu akikoment anaandika Upuuzi bila kujua ah INASIKITISHA. Natamani ningeliagizia Baku toa mafumbo ila naogopa unaweza kubebwa na defenda ukalale huko oo.
    Inauma sana

    ReplyDelete