NILITAJA WASHINDI WALIOKUWA WAKIKOMENT MNO NA WINNIE ALIKUWA MMOJA WAO SASA BAG IPI UNAITAKA YA JUU AU CHINI MAANA YA JUU NI MPYA NIMEPIGA NAYO TU PICHA ZA OUTFITS FOR THE BLOG ILA HILI LA RED NIMELITUMIA KAMA A MONTH,,NIJIBU KESHO UTAPOIONA POST HII.
SIJAWASAHAU ILA MAMBO MENGI NKIRUDI KWENYE BARIDI AKILI ITAKAA SAWA,LÖVE NURU!!!
hi,napenda habari zako na kila siku lazima nifungue blog yako kujua kilichopo.
ReplyDeleteusikondeee..!pamoja
ReplyDeleteUwiiiii Nuru nachanganyikiwa my dear, ya juu my dear. Nahisi kutetemeka kwa raha mama weeeeee. Winnie
ReplyDeleteWallah Brown ya mwanzo ni Fab Fab.
ReplyDeleteI wantttt
Winnie niambie unalipataje maana liko Bongoland...
ReplyDeleteMi niko Morogoro sijui wewe uniambie nifanyaje, Winnie
ReplyDeleteMimi kwani simo jamani, au nishuke Bunju niulizie kwa mpemba nikaoge...hahahahaha!!!!! Kuna mtu alinichekesha sana na hii Bunju
ReplyDeleteAM.....
Hahahahaha @AM bora kaoge hun
ReplyDeletekaogee@AM....subira ina malipo dear!MWAMINI
ReplyDeleteMungu akuongezee zaidi na zaidi kuna nguvu katika utoaji.
ReplyDeleteha ha ha ha nenda bunju kaoge LOl! congrat winnie la juu ni zuri mnooooooo---ambutterfly
ReplyDelete@ Bintinyota umeona ehee hun!!! 😂😂
ReplyDeleteAM..
TANGA KUNA NI KULE MBONA KILA KITU...
ReplyDeletezarithebossladyIt's always the ones who claim they don't give a shit about you who stay checking up on your social media most������.... as I left Villa De Casa�� today ��
Villa De casa?
ReplyDeleteuna mtu Dar Winnie nimuachie,,nijibu na nipe contact nitampatia!!
ReplyDeletekabag katamu hako..
ReplyDeleteDa nuu watu washajua unatoa zawadi basi kila mtu anataka kujifanya kuwa huwa anacoments sana
ReplyDeleteCongrats winnie