Sunday, October 30, 2016

SUNDAY BRUNCH KINDA LOOK!!!




 HILI POCHI NLIMPA DADA WA USAFI ALIKUWA AKITUHUDUMIA VIZURI MNO SO NIKAMPA ALIFURAHI SANA,,

8 comments:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. She deserved that hun.
    I love the look, simple but mwake mwake

    ReplyDelete
  3. Beautiful....max dress iko pouwaa!!!
    AM....

    ReplyDelete
  4. Hi Nuru, natafuta kikoti kidogo cha jeans kama hicho chako, naweza kupata wapi? Nipo UK. Mimi ni size 16

    ReplyDelete
  5. God Bless you Nuru unaonekana unamoyo sana wa kutoa that's why Mungu anazidi kukubariki siku hadi siku. Endelea na moyo huo nasi unatuhamasisha tuwe watoaji...TNS

    ReplyDelete
  6. Ahsante TNS,,
    Jaribu primark,river island na asos.com kwenye website ila pia hm huwezi kukosa ila check hm divided brand yao kwa the youth hii kwa anon wa 3.03

    ReplyDelete
  7. Kuna nguvu katika kutoa! unapotoa zaidi unapewa zaidi hongera Nuru kuwa na moyo huo huo

    ReplyDelete
  8. hizi max dress zako huwa zinakutoa chicha....nice

    ReplyDelete