Wednesday, May 13, 2015

JOYCE KIRIA SAID!!!


kiukweli Nimejifunza kutumia kila fursa inayokuja mbele yangu kupitia kwa mwanadada ‪#‎Zari‬😎 yaani nina project kadhaa nimekuwa nazichukulia poa sana, yaani kweli shule ni muhimu jamani😩😩😩😩 nimedharau baadhi ya fursa ilihali hizo project zingetosha kuniingizia kipato flani amaizing uuuuuuwii😜😜😜😜 so nina hasira mbayaaaaaaaa nafufua zile mambo zooote nilikuwa nazichukulia poa😜😜😜😜 kama una kitu ulikuwa unakichezea chezea i mean unakidharau kiaina acha mara moja maana hiyo ndo fursa yako!!!! hata kama inakuingizia cent mojaGoodmoning my fam, ‪#‎beInspired‬ ‪#‎tuigeMazuri‬ ‪#‎tukubaliUkweli‬‪#‎tuacheChuki‬

No comments:

Post a Comment