Mhhh .Watu wa nchi za nje, bora akae uchi kuliko kukuonesha maziwa .Sie kwetu hata mtoto wa mwaka mmoja akikaa uchi utasikia jifunike nguo umekaa uchi !! Au wakaribu yake anaulizwa huoni mtoto kakaa vibaya ? Huku mama unanyonyesha ziwa njee ,mpaka kwenye daladala . Hongera Kardashian
Mhhh .Watu wa nchi za nje, bora akae uchi kuliko kukuonesha maziwa .Sie kwetu hata mtoto wa mwaka mmoja akikaa uchi utasikia jifunike nguo umekaa uchi !!
ReplyDeleteAu wakaribu yake anaulizwa huoni mtoto kakaa vibaya ? Huku mama unanyonyesha ziwa njee ,mpaka kwenye daladala .
Hongera Kardashian