Sunday, June 8, 2014

UZINDUZI WA SIKU YA MSANII A.K.A MSANII DAY LAUNCH BROUGHT TO YOU BY HAAK NEEL PRODUCTION HELD AT SEA CLIFF DAR-ES-SALAAM!!


 Meneja wa Masoko wa Siku ya Msanii, Catherine Metili
> (kulia) akiwa na ofisa Masoko wa Mradi, Veronica Martin
> (kushoto) wakiangalia kitabu cha wageni wakati wa uzinduzi
> wa Siku ya Msanii

 Waziri wa Habari,Utamaduni, Vijana na
> Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akipiga  Gitaa
> kuashiria uzinduzi wa siku ya Msanii katika hafla 
> iliyofanyika kwenye hoteli ya Sea Cliff Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Haak Neel Production, Sebastian
> Mahendeka akizungumza wakati wa uzinduzi wa Siku ya
> Msanii
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk
> Fenella Mukangara akipokea zawadi ya picha aliyochorwa na
> msanii chipukizi, Meddy Jumanne wakati uzinduzi wa sherehe
> ya Siku ya Msanii uliofanyika mjini Dar es Salaam.



 Mkurugenzi wa Utamaduni, Profesa Hermas Mwansoko akiwa
> na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo,
> Sihaba Juma wakifuatilia tukio la Siku ya Msanii.

 Wageni walialikwa wakimesimama kutoa heshima
> kwawasanii mbalimbali waliofariki katika kipindi cha mwezi
> mmoja uliopita
PETTER DAVID MWENDAPOLE AKIFUATILIA SIKU YA MSANII,,

No comments:

Post a Comment