Sunday, June 1, 2014

REDCARPET YA SHOW YA DIAMOND PLATINUMZ IN HOUSTON,TEXAS!!!




 where was her bra,,,











 simple n chic,,,

DMKGLOBAL the man behind the show,,ukitaka ona picha zaidi ni nyingi mnooo ingia facebook page yake

7 comments:

  1. Sio tu bra Nuru!. Na corsets, na vioo vya kujitizama na nguo zao wenyewe, maana naona kama hawaja vaa wengine nguo zao...kama si za mabinti zao basi wadogo zao...na kama ni nguo zao kuna uwezekano wako kwenye denial wameongezeka size....jamaniiiiiiiii

    ReplyDelete


  2. mdau naomba nipite kimya kimya nawaachia nyie muongee kwa leo maana katika redcarpet hii ilikuwa,,,,,,

    ReplyDelete
  3. sijapenda SIJAPENDAAA

    ReplyDelete
  4. Wachache sana ktk wadada walipendeza

    ReplyDelete
  5. Texas ya Marekani? Marekani ya Obama sio? Mwaka huu 2014?
    Au Nuru unatutania?

    ReplyDelete
  6. Haaaa wamepauka kma vile wametoka msata alafu jamani mijitu haijulii miiliyao yani mfyuuuu watu wazima ovyo haaaa

    ReplyDelete
  7. kha hii redcapert ni USA au Usa ya ARUSHA MANA KHA

    ReplyDelete