HOT MAMAAA! Jamani wafanya Biashara wa nguo hapa dar tuleteeni shorts kama hizi za kisasa na sisi tupendeze kama mademu wa majuu... Devota napenda sana style yako hutumii nguvu kila kitu kinakutoa chicha!
Okey!duka gani hilo?mbona umenijibu kwa hasira? Hujui kua simple is the best? Au umekereka kwa sababu kapendeza? Watu wengine bwana... Hawapendi kabisa kuona wenzako wanasifiwa sijui tatizo ni nini? Haya tuelekeze hilo duka na sisi tupendeze!!!
Hasira hasara! Wewe tujulishe hayo maduka yako wapi watu tukajibebee pamba sio unajibu maswali ukiwa na wivu.Devota anapendezaga kila wakati mimi nampenda sana huyu dada.
Hahahahahaaaaaaaaaa Eti vitu vingi kama jini yani umenichekesha mbavu sina, haya Mama Johanson u look lovely my dear. yaani huyu dada ana helaaaaaaa lkn hutomuona anamdharau mtu jamani me love you sana kuwa hivyo hivyo usibadilike
Wow! she's glowing. Tabasamu lake tu jamani, so beautiful.
ReplyDeleteEverything on point!
ReplyDeleteLove it!
ReplyDeleteHOT MAMAAA! Jamani wafanya Biashara wa nguo hapa dar tuleteeni shorts kama hizi za kisasa na sisi tupendeze kama mademu wa majuu... Devota napenda sana style yako hutumii nguvu kila kitu kinakutoa chicha!
ReplyDeleteSo beautiful!
ReplyDeleteMBONA VYOTE VINAPATIKANA BONGO YUKO SIMPLE TU.
ReplyDeleteOkey!duka gani hilo?mbona umenijibu kwa hasira? Hujui kua simple is the best? Au umekereka kwa sababu kapendeza? Watu wengine bwana... Hawapendi kabisa kuona wenzako wanasifiwa sijui tatizo ni nini? Haya tuelekeze hilo duka na sisi tupendeze!!!
ReplyDeleteHasira hasara! Wewe tujulishe hayo maduka yako wapi watu tukajibebee pamba sio unajibu maswali ukiwa na wivu.Devota anapendezaga kila wakati mimi nampenda sana huyu dada.
ReplyDeleteSimple ndo mambo yote! Sio unakuta jitu limevaa vitu vingi kama jini!
ReplyDeleteHAHAHAHAH MDAU WA MWISHO UMEUWAAAA!!
ReplyDeleteHahahahahaaaaaaaaaa Eti vitu vingi kama jini yani umenichekesha mbavu sina, haya Mama Johanson u look lovely my dear. yaani huyu dada ana helaaaaaaa lkn hutomuona anamdharau mtu jamani me love you sana kuwa hivyo hivyo usibadilike
ReplyDeleteMdau