Watu wengine sijui ni kwanini mnapenda sana kujua maisha ya wenzenu kiundani zaidi!! i wonder why, just know that she is working , and its a nice job thats all, kama most of the time yuko bongo hizo ni likizo zake, utendaji kazi wa makampuni ya bongo ni tofauti sana na utendaji wa makampuni ya nnje, hata ukilinganisha na makampuni ya kigeni yaliyoko nnchini mwetu yanatofauti kubwa jinsi yanavyo endeshwa ukilinganisha na local companies za hapa nchini
Unafanya kazi gani if u dont mind me askin!!
ReplyDeleteHahahahaaaaa.. umenifurahisha sana i c the whole party was urs mumie..... unarukarukaa....lv u the light.
ReplyDeleteYAAANI I HAD SO MUCH FUN KWAKWELI IT WAS WELL ORGANISED AND THEY DID A FANTASTIC JOB..,
ReplyDeleteUnataka kujua nuru anafanya kazi gani ili iweje?wewe hapo ulipo hata kazi huna! Lione bayaaaa kama mavi ya asubuhi!!!
ReplyDeletetwo questions for u mama... unafanya kazi wapi n which country? mana one min i c u ol ova bongo the next minute uko i dunno wea!? pliz enlighten me.
ReplyDeleteKubwa jinga:)?????
ReplyDeleteWatu wengine sijui ni kwanini mnapenda sana kujua maisha ya wenzenu kiundani zaidi!! i wonder why, just know that she is working , and its a nice job thats all, kama most of the time yuko bongo hizo ni likizo zake, utendaji kazi wa makampuni ya bongo ni tofauti sana na utendaji wa makampuni ya nnje, hata ukilinganisha na makampuni ya kigeni yaliyoko nnchini mwetu yanatofauti kubwa jinsi yanavyo endeshwa ukilinganisha na local companies za hapa nchini
ReplyDeleteMdau
i love nuru the light...i like everthing about you...
ReplyDeletenuru if u dnt mind unakaa nchi gani?ni sweden?or uk?
ReplyDelete