Sunday, March 21, 2010

GOD BLESSED US WITH TANZANIAN FOOD SO LET US EAT IT AND ENJOYING WHILE DOING SO ON THIS BEAUTIFUL SUNDAY!


NO COMMENT JAMANIIIII...,

ALOOOOOOOOOOO,,,.






I LOVE TANZANIA NA MSOSI WAKE PIA HAHAHAHAHHA ALOOOOOOO....,




4 comments:

  1. Dah! How I wish I was there mamiy hapa mate yananitoka!!! lol

    ReplyDelete
  2. Tanzania hata kama pesa Mgogoro cha kuweka kinywani utakipata tu. Labda uwe mvivu.
    Umenikumbusha sana Mwanza kwa huyo Fish na Ugali!! Tumbua Tumbua jamani Tumbua.
    Kuna vile vya size ndogo, ukishika kimoja unaingiza tu mdomoni weh VITUMBUA MWISHOOOOOOO

    disminder.

    ReplyDelete
  3. Yummy,ni kweli Nuru go east go west home is the best i love Tanzania.
    Mdau Finland

    ReplyDelete
  4. mkao wa mlo lol I love my home country pure Tanzanian Yeah!!!!!!!vitumbua madanzi na mkate wa nazi hahahaaa!!!!!lovely meal ugali sangara na sato wa kukaanga pamoja na dagaa wa tui la nazi okay.Grolia Padmore,
    Dallas Texas

    ReplyDelete