anony si nilimeandika tayari moshi...,when ur there u cant miss it.,.,na kama unataka kujua namba email me nikupe namba ya hapo ubuku chumba chako....,enjoy
Eh, pananoga...Nuru wana website? Mi nataka kujua kabisa service zao na their price nikitua kwetu moshi this december nikajivinjari, maisha yenyewe mafupi! Kwanza ngoja kabisa ninakili hili jina la hoteli...
The place looks so nice. Great job Lilly.
ReplyDeleteSally
UMEONA EEEEH YAANI ANAJITAHIDI SANA MISS LILLY....,
ReplyDeleteNi kweli ni sehemu nzuri sana imepambwa vizuri kwa umakini.
ReplyDeletekweli da yasinta...,its decorated with love n care
ReplyDeleteipo wapi kwa wale wanaotaka kuvisit?
ReplyDeleteanony si nilimeandika tayari moshi...,when ur there u cant miss it.,.,na kama unataka kujua namba email me nikupe namba ya hapo ubuku chumba chako....,enjoy
ReplyDeleteEh, pananoga...Nuru wana website? Mi nataka kujua kabisa service zao na their price nikitua kwetu moshi this december nikajivinjari, maisha yenyewe mafupi! Kwanza ngoja kabisa ninakili hili jina la hoteli...
ReplyDelete