Sunday, July 23, 2017

Yaliyojiri!!!


 Sometimes sio kila mnachosoma ndivyo kilivyo..huyu MAMA anajua yote mwanae anafanya!
 Why Wema some things just let EM Pass,kama ulishamdelete dont mention Kajala!



Upinzani wana wakati mgumu sana...

3 comments:

  1. mmhhh!!!!!basi makubwa aya kama anajua afu anapretend kwa media sio vizr hata nukta
    Raila sijamuelewa vzr
    siku na muda unavyozidikwenda ndivyo tutayaona mengi yaliyojificha
    ila kwa sasa watu wajue kuwa duniani hakuna kuficha kama miaka ya nyuma
    utadanganya but at the end kitaonekana

    ReplyDelete
  2. Upinzani una wakati mgumu sana jamani dah! Wema hahaahah

    ReplyDelete
  3. Hahahahahahaha Raila Odinga tweet got me like... You play too much! Magu should have such an opposition like this na asisubutu kuwapeleka rumande thereafter. P.K

    ReplyDelete