Monday, July 24, 2017

MILLEN MAGESE!!!



Kuna wakati tuwe waelewa kwa vitu ambavyo labda kwako ni unaona kama sio sahihi.
Mara kadhaa nimeona wanawake wakilalamika kuhusu wanawake wenzao kuonyesha matumbo yao ya ujauzito.
Kuna vitu unaviona kwenye picha tuu na ukavihukumu kupitia mtazamo wako wakati hujui The story behind it.
Millen Pia aliitwa mgumba na maneno mengine mengi kama kwanini hauzai na wewe,umri unakwenda bla bla bla nyingi lakin Leo hao hao mapopo bawazz wanafki ndio wakwanza na maneno ohh Mungu mkubwa mungu ni mwema,Walimwengu!
There are People ambao wamemsupport Millen kabla na After kujua safari yake mpaka Leo hii yeye kuitwa Mama Kairo na kama Millen Kuna wengine wataonyesha matumbo yao kwa sana tena mno because ni kitu walikisubiri kwa hamu na wanataka picha za kumbukumbu wakionyesha matumbo yao simply because wana furaha isiyoweza kufafanuliwa and Personally hawanisumbui wala kunikera kwa wao kuonyesha matumbo yao ambayo yamebeba maisha for The World to see.
Let Them have their moment in Peace,Nimemaliza.com!


4 comments:

  1. aiseee very true da nuu
    walimwengu ndivyo tulivyo
    hongera kwake sana tena sana

    ReplyDelete
  2. Maternity shoot nimependa sana first pic alipendeza mnoo

    ReplyDelete
  3. True kila mtu na back ground yake no more judging

    ReplyDelete
  4. UUUH TUMUACHIE MUNGU
    TUSEME ALHAMDULILLAH

    MIDOMO HII MIDOMO.

    MXIUUUU (IN ZARIS VOICE) POPOBAWAZZZ

    ReplyDelete