Thursday, June 8, 2017

Yaliyojiri!!!





5 comments:

  1. 1. mmmhhh huyu AT nahisi anatafuta kiki kupitia migongo ya wenzie
    2. ehhh!!! m nilikuwa sijui kama anga letu lamilikiwa na Kenya, means hata sie ipo siku tutaambiwa tunamilikiwa na Mugabe!!!!
    3. sasa jmn tutaolewa na wa aina gani hahhahahha!!! mbona majanga ya snura
    4. hahahhaha!!!!! eti sisi tuvumiliane tu hahhaha!!! kuna watu wanajua kuwachekesha wenzao ila ndio nzr mana twaongeza siku za kuishi so ukiolewa na kijana inabidi uwe unacheka sana kuongeza siku za kuishi

    ReplyDelete
  2. hahahah imebidi nicheke Mume bora.

    AT waache Dai na Kiba kwanza wewe hatukusikii kabisaaaa

    ReplyDelete
  3. Watu wanaishi karne za kale. Wasoolewa Wanakufa wasoolewa wanakufa. Kuolewa ni mapenzi ya mtu. Na kuishi na afya ni jinsi gani moyo unaweza kubeba mauzi.
    Matajiri hata visivyotabiriwa

    ReplyDelete
  4. ha ha nimeipenda hiyo sifa ya mume ipo amaizing

    ReplyDelete
  5. AT nae siku hizi sijui amekuwaje naona anapoteza mwelekeo!mwamini

    ReplyDelete