Monday, June 12, 2017

#RipotiyaMchanga#MakinikiyaPili!!!










4 comments:

  1. ngoja ninyamaze tu
    mana hakuna anayejua ukweli wa hili jambo
    wanajua wenyewe why yametokea.

    ReplyDelete
  2. Changanya changanyaa hadi nachanganyikiwa mimi ...mweeh!mwamini

    ReplyDelete
  3. Tunajua waliopitisha sheria hapo bungeni kwa kusema NDIYO wengine wakisema SIYO wakati huo wa Mkapa hadi Kikwete juu ya Madini yetu. Tunaomba Mikataba iwekwe wazi ili kuficha Mianya ya rushwa na udanganyifu kwa Taifa. Mfano tu hai kuna mikataba ambayo imeshasainiwa Awamu hii lakini hatuijui kama na yenyewe itatuletea tena hasara au maana ni SIRI. TUNAHITAJI UWAZI la sivyo tutaendelea kudanganyika watz

    ReplyDelete