Wednesday, June 7, 2017

IT ALL COMES DOWN TO CHOICES,MAAMUZI!!!



Tunaweza tukawa wagumu wakuelewa maamuzi ya wengine ila hatuna budi wala hatia kwani mwisho wa siku kila mtu atalala kitanda alichokitandika,Nimemaliza.com!

8 comments:

  1. Napita tuu maana nahisi nimemfananisha

    ReplyDelete
  2. Eeehhh wacha trailer iendelee,Thought ni uzushi wa social media.
    Kweli maamuzi sisi watazamaji tuuuu

    ReplyDelete
  3. Mola akutilise wepesi Misa akujaalie upate wa kiume na wawe wanmtt wema.
    Mwacheni azae bado msichana na anaweza kutunza . Manenough hata kwenye khanga yao.
    Hakuna la ajabu alombebesha mimba ni mwanaume .
    Mungu Akuondolee husda

    ReplyDelete
  4. mh mambo mengine tuyaangalie tu mana mh hapana povu linatutoka kama tuna wazimu wakati hatujui ukweli wa jambo lolote

    ReplyDelete

  5. Mwanamke anayejua maisha hawezi hata siku moja support ujinga unless na yy tabia zake ni zile zile na nani kasema asizae azae tuu si mleaji ni yeye na ukisema Anaweza kutunza kwani anafanya kazi gani?
    Omba yasikukute but Then again unaweza kukuta naongea na mbeba mimba ya mume wa mtu!
    Ifike mda wanawake wawe na huruma na wanawake wenzao..

    ReplyDelete
  6. Kuzaa haikatazwi kama una uwezo wa kuzaa na kulea na mimba zinaingia lkn unazaa na nani ndiyo issue!mwamini

    ReplyDelete
  7. Bilabila hata sielewi mwenzenu.

    ReplyDelete