Friday, June 23, 2017

A VERY LATE POST,TODAYS!!!





I have no make up on just the Lipstick on...







 Jacket:Armani Exchange     Shoes:UK    Dress:H&M    Lipstick:Loreal    Images by Dull!!!
                                       

11 comments:

  1. Nuru naomba uinamie kwa hukuuuu hahahahahahaaa, maanaaaa. Umependeza sana my dear, nguo fupi zinakupendeza sana. Winnie

    ReplyDelete
  2. thats so amaizing umpendeza kuliko maelezeo by the way that animal print jacket is the bomb shell of today

    ReplyDelete
  3. Mtamu kama pipi aisee umependeza sana Mungu kakujalia mwili mzuri miguu mizuri ngozi ya kuvutia wewe ni mrembo Nuru

    ReplyDelete
  4. Hivi da nuu Unafanya mazoezi eti? Mana umepungua kweli hadi raha
    Umependeza Sana
    Kigauni on point

    ReplyDelete
  5. nakuona birthday girl upo vizuri.

    ReplyDelete
  6. nakuona birthday girl upo vizuri sana hongera

    ReplyDelete
  7. Yaani nliwapa show hahaha Winnie..
    Senkisiiiii Irene
    Mashallah cute olive ahsante
    Mamake J shukran

    ReplyDelete
  8. Soso hizi za nyuma ss nimekuwa bonge ila operation kupunguza inaanza..

    ReplyDelete
  9. Mzuri mpaka una kera Nuru. The animal print coat its a killer. You look lovely dear

    ReplyDelete