1. R.I.P Ivan, Mungu awape faraja zari na watt wake jmn 2. huyo cheusi mangala nae anatafuta kiki mana sio kwa kuchamba huku kwnaini lazima umseme kwa media, angemtafuta na kumwambia kishikaji kuwa arekebishe pale ambapo yeye anaona amekosea, sio kumwanika mwenzie hv, ajue yeye ni msanii pia, kiki zina mwsho. Ben kama ni mwenye busara akae kimya asimjibu huyu 3. huyu bashite.com nilimsikiliza ni majanga.com ya snura, hhhmmm!!!! nisiongee nisije fungwa bure
Ya Musiba imenipita nakupenda kwangu story hii sijaijua vizuri
ReplyDelete1. R.I.P Ivan, Mungu awape faraja zari na watt wake jmn
ReplyDelete2. huyo cheusi mangala nae anatafuta kiki mana sio kwa kuchamba huku kwnaini lazima umseme kwa media, angemtafuta na kumwambia kishikaji kuwa arekebishe pale ambapo yeye anaona amekosea, sio kumwanika mwenzie hv,
ajue yeye ni msanii pia, kiki zina mwsho. Ben kama ni mwenye busara akae kimya asimjibu huyu
3. huyu bashite.com nilimsikiliza ni majanga.com ya snura, hhhmmm!!!! nisiongee nisije fungwa bure