Friday, May 26, 2017

Yaliyojiri!!!




Hivi huyu kaka mnataka afanye nini jamani,,waafrika AT Times!

4 comments:

  1. Watu jamani.kwa nini mtu mpangie mwenzio chakufanya?

    ReplyDelete
  2. sitaki kuongea mengi Jack kitenge kimenoga haswaaaaaa umependeza.

    Ni wakati mgumu sana kwa Diamond, Zari, Watoto na familia nzima ila yote yatapita Mungu awatie nguvu kwakweli mana kila anayeamka anasema yake.

    ReplyDelete
  3. yani da nuu nilitaka kuandika kile ulichoandika hapo chini mana nilivyomaliza kusoma tu jibu likaja kama lako
    huyu kaka anataka kiki kuonekana mwenye majonzi kuliko zari na watt wake
    mfyuuuu!!!!!!! kaniboa
    sasa alitaka Dai aandike nini zaid ya hicho, heri amekuwa muwazi kuliko angeandika maneno mengi ya kumsifia wakat hatujawahi mwona hata siku moja kapiga nae picha au kuongea nae
    pole zari mwaya

    ReplyDelete
  4. hhmmm!!! wolper naye shida tupu ameamua kuyatafsiri maneno yake
    hahahhahah!!! hana jipya yuda
    mbasha naogopa mana hakuna anayemtaka kulea libaba

    ReplyDelete