Sunday, May 14, 2017

THIS HAIR THOUGH IS GIVING ME LIFE!!!





5 comments:

  1. Hakika nilikuwa sijamjua kabisa wolper huu mwenekano umembadilusha sana na amependeza sana tu yaani ilichukua muda mpaka kujakugundua ni yeye

    ReplyDelete
  2. kapendeza saana kweli hiyo nyweli ni nzuri

    ReplyDelete
  3. kapendeza sana , yaani ni mrembo mno asiwekege yale marangi yanamshusha hii imempa classy sana !! Nuru niliumia sana yule dada mmoja alivyomtukana wolper utasema yeye sio mwanamke ! Mungu anamuona lol

    ReplyDelete
  4. kwa kweli wolper hii style akae nayo sijui mpk mwakani au iwe ndio nywele zake asiweke mengine mana hii ni bombastikiiiiiiiii
    mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wolperrrrrrrrrrrrrrrrrrr
    yani naitamani ila kwa kichwa changu big no siwez jitoa muhanga

    ReplyDelete