Thursday, May 18, 2017

THANK YOU NIKKI FOR SAYING WHAT WAS ON MY MIND FOR A LONG TIME!!!



Mmemaliza kila kitu sina haja ya kuongeza mengi bAli machache.,
Siku mwanamke wa kiafrika na jamii ya kiafrika ikielewa alichoandika Nick na Elizabeth basi safari mpya itaanza kwa mwanamke wa kesho.
Ahsante Nick kwani umeongea na kupanga hoja,kuusambaza ujumbe kwenye lugha ambayo mtu yoyote ataanza jiuliza maswali,The right questions na kingine heshma ni mtu,ni tabia ya mtu and it is earned and not given by a piece of papper,Nimemaliza.com!

3 comments:

  1. ni kweli majority wanakuwa wakiambiwa hivyo ndo mana tunakuwa na akili ya kuolewa lakini naona maisha yanachange now unaambiwa msichana usiposoma na ukawa na kazi utanyanyasika

    ReplyDelete
  2. kwa kweli siku hz mabnt weng akili zetu zinawaza ndoa
    na tena tukipata mwanaume unajibebesha mimba fasta ili tu uolewe
    na wengne wetu tunalazimisha ndoa bila kuelewa madhara yake baaadae
    na weng wetu tunawaza na kutazama sku ile ya sherehe ili tu aonekane na yy ameolewa
    wanawake watz tuamke jmn
    #bilandoainawezekanakuishi
    #bilandoambingunitunaingiajmn
    #kamaunatakakuolewaMuombeMunguatakupa

    ReplyDelete