Kuna haja ya kufanya kazi kwa bidii na ku save ili tuweze ku fulfil duty to ourselves...maana kujenga mtu hujengi na hata kuburudisha mwili ushindwe..mwamini.!
Na kipindi cha April bei hupungua. May hupungua zaidi mpaka june. Ikianza July tuwaachie WA High season mpaka tena November. December kitu Peak mpaka baada ya New Year tena inashuka kidogooo. Na sisi East African Residents tuna bei zetu. Zanzibar njema karibuni. Tutafiteni wenyeji tuwasaidie vijiwe
Panavutia.
ReplyDeleteBeautiful place. I love the décor. Thanks Nuru.
ReplyDeletekuzuri kweli
ReplyDeleteKuna haja ya kufanya kazi kwa bidii na ku save ili tuweze ku fulfil duty to ourselves...maana kujenga mtu hujengi na hata kuburudisha mwili ushindwe..mwamini.!
ReplyDeleteNa kipindi cha April bei hupungua. May hupungua zaidi mpaka june. Ikianza July tuwaachie WA High season mpaka tena November. December kitu Peak mpaka baada ya New Year tena inashuka kidogooo. Na sisi East African Residents tuna bei zetu. Zanzibar njema karibuni. Tutafiteni wenyeji tuwasaidie vijiwe
ReplyDelete