Sunday, May 21, 2017

BY ELISHA RED LABEL!!!













2 comments:

  1. da nuu naomba kuuliza tu wala si kwa ubaya ni kutaka kujua
    may b upeo wangu n mdg
    hvi hawa washonaji mbona kama wanataka kufanana kwa mitindo yao
    mana wote wanaweka tausi chini afu ubunifu ni uleule
    yani utofauti wa gauni moja kwenda lingne ni kdg
    materials wanayoyatumia ni mazuri na yanavutia kwelikweli
    shida n mitindo mana mnaweza mkajikuta watu 3 kwenye party moja mmevaa nguo za designer mmoja na yote yana tausi chini, why?
    they need to come up with new design jmn
    N.B
    naomba nieleweke sijachukia magauni ila ninatoa maoni kwa hao washonaji
    sio lazima wote washone yenye tausi au ya kubana

    ReplyDelete
  2. Nahisi na nafkiri ni wateja ambao ndio wanapenda hiyo staili..,Nimekuelewa point yako

    ReplyDelete