Friday, March 17, 2017

TAKE ONE FEATURING ZAMARADI MKETEMA!!

Zamaradi Mketema akihojiwa na Kibonde na Gadner.
Kuna wakati naona kabisa G na K waliogopa kuuliza maswali mpaka yeye anawaambia feel free niulizeni tu.
IT was a nice interview na tumepata kumjua Zamaradi kiundani zaidi.

2 comments:

  1. Mola atuondoshee hili Balaa.
    Awajaalie watoto wetu na wawenzetu wawe wasikivu.
    Zama umeongea maneno mazuri sana.Nimesikia rahaaa yaani . Mola Akujaalie ufike utakapo

    ReplyDelete
  2. Umeniliza Zama . Mola atuweke pema peponi wazazi wetu.
    Wazazi ndo nguzo zetu .Wametutoka tukiwa wadogo mie nilikuwa form 2.
    Mola walaze pema peponI
    Wape people ya Faraja. Na wajaalie mema zaidi.

    ReplyDelete