Saturday, February 18, 2017

ZARI AT GSM MALL TODAY AND YESTERDAY!!!











7 comments:

  1. Watu wanaojua kutafuta fursa, hiz zilitakiwa kuwa kaz za akina fulani ila wanatafuta "kiki" insta, siku wakishtuka watajutia sana...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wabongo tuko negative Sasa tena sana na tutachelewa sana anonym daah .Unaangalia fursa za wengine tu siungeandika kwa niab yako???
      Embu tuwache kuwa na ndoto ya maisha ya KINA FULAN WA INSTAG.
      Tuote ndoto ningekuwa mie.
      Alafu maisha ya watu tuyaone ktk picha huwenda anafanya tangazo tu .
      Tukiwa tuna dream tu jaribu kutaman wa so kuwa na maisha mfano masikini . Wawe nayo tuishi angalau sawa kama nchi zilizoendelea.
      Usimwaze fulani. Wakati ana:
      Gari
      Anavaa vizuri
      Anakula vizuri
      Anajikimu maisha atakavyo
      Ananunua lace wig lulus..
      Anasimama mwenyewe
      TUIGE VITA NEGATIVE MAWAZO

      Delete
    2. ZARI UNAPEWA NGUO NYEKUNDU NA NYEUSI DAAHHHH
      MPĂ…KA UMEPOKEA MWELEKEO WA MACHO
      ITABID NINUNUE MAWANI 3D

      Delete
  2. She's gorgeous. She knows it.....

    ReplyDelete
  3. Anony 11:2 I beg to differ,sio kila wazo ni negative mda mwingine ni wazo kwa wenye potential ambao mm nawaona kuwa hiyo kaz ingewafaa, mm kwa nafasi yangu ya unesi ninazo fursa zangu na ninazitumia, je ni nagative kumuonyesha mwingine fursa ambayo naiona na ingefaa?? Tuko humu kwa nuru kwasababu ya kuangalia maisha ya wengine na (njia moja wapo ya kupiga vita negative mawazo ni kusoma kitu in a positive way jaribu kusoma in a positive way utaelewa haikuwa deep kiivyo)

    ReplyDelete