Sunday, January 15, 2017

RAY AND CHUCHU!!!




3 comments:

  1. Mungu akujaalie ufike salama safari yako

    ReplyDelete
  2. hongera zao,
    ila hizi picha hizi jmn
    ndio mana watoto siku wanapiga picha za utupu, mana toka tumboni alishawekwa wazi kwa mapicha kama haya
    watz na wengine wote tuacheni hzi za kuiga
    hawa watu maarufu wanafanya ili kumaintain status zao kwa jamii, na ili jamii wapate la kuongea na wao mkono uende kinywani mana wenzetu wanalipwa kwa hz picha
    sasa ukija kwa sie akina fulani mnapiga tu bila hata ya kujiuliza kuwa unamtengenezea mazingira gani mtt aliyeko tumboni
    hiyo n baraka acheni mambo ya kuwaanika viumbe ambao hata hawajafika kwa dunia hii,
    mwenye ufahamu amenielewa
    by suzana

    ReplyDelete
  3. I love her pregnancy photos, especially the last one. So beautiful, MissY.

    ReplyDelete