Monday, January 23, 2017

JOKATE MWEGELO!!!



5 comments:

  1. Bintinyota , upo, ujambo habibty, napita sana humu kwa siku mara mbili au tatu, ila napiga kimyaa, niko busy na Australian open Tennis ugonjwa wangu,... Na hapa habari za town Lazima uchungulie kama kuna Ubuyu 😅
    AM...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Joke smile basi dah
      Utadhan ulisema story ya The secret behand Mono Lisa's smile
      Anony wa Juu umetokeleza kaa uko kwa kochi wako . Dah wabongo mnapendana umbea !!!
      Unajisofia kabIsa
      Hurumaaaaa

      Delete
  2. Hahahahaha mibuyu mpaka inadondosha matunda, mji mzima full Blonde VIP nasi humu tuweke MVI???

    Hahahahaha @AM

    ReplyDelete
  3. hahahahahahahahah!!!! @ Bintinyota umeona ehee, ndio habari ya jiji!!!
    AM....

    ReplyDelete
  4. Pole mpendwa, kujuwa habari za mjini ndio umbea, basi watu ata magazeti ya Shigongo wasingenunuwa...
    Kweli bila kusoma blogs tutajuwaje Magufuli kaweka sheria mpya nchini...😉
    AM...

    ReplyDelete