Saturday, December 17, 2016

Ni Mwendo Wa Kunyooshwa Tyuu!!!


4 comments:

  1. Kwa hiyooo Kama sitakiiii kufanya mazoeziiii inakuwaje jee? Jumamosi huwa nisiku yangu ya kulala tu! Ndo siku peke nisiyoenda job! Sitakiiii kupelekeshwa, wala kushurutishwa na wala kuamrishwaaaa! Asante Sana

    ReplyDelete
  2. nafikiri watawatumia sungusungu kuwaamsha watu majumbani mwao
    afu je walifikiria kuhusu watu waliojiajiri kuwa waaache biashara zao waende kufanya mazoezi?

    ReplyDelete
  3. Imekuwa North Korea sasa? MissY.

    ReplyDelete