Vitumbua vipi hapo?
hahaha!!! Umenikumbusha nikiwa uko kitaa natafunaje vitumbuwa na soda...Utamu wa bongo ndio uhooo na maindi ya kuchoma...lolAM...
I love how down to earth u r
Yaani AM vitu vya hao mammantilie uwa vitamuu. Na unapata kitu motooo
home sweet hooomeeee!
Bintinyota, umeonaa ehee!!! Alafu nikiludi nyumbani kitumbo ndiii utanisikia mi sili saizi, kumbe utamu wa kitaaAM...
Vitumbua vipi hapo?
ReplyDeletehahaha!!! Umenikumbusha nikiwa uko kitaa natafunaje vitumbuwa na soda...Utamu wa bongo ndio uhooo na maindi ya kuchoma...lol
ReplyDeleteAM...
I love how down to earth u r
ReplyDeleteYaani AM vitu vya hao mammantilie uwa vitamuu. Na unapata kitu motooo
ReplyDeletehome sweet hooomeeee!
ReplyDeleteBintinyota, umeonaa ehee!!! Alafu nikiludi nyumbani kitumbo ndiii utanisikia mi sili saizi, kumbe utamu wa kitaa
ReplyDeleteAM...