Mama alibarikiwa sana na apumzike kwa amani, alikuwa na watoto 15 wakuzaa mwenyewe 3 walifariki lakini alikuwa na nguvu na mwili mzuri hadi mwisho wa maisha yake, sisi wenye wakidunchu wanatuchezesha msewe, RIP Bi Shakila naukumbuka Viva Frelimo your beautiful voice still remains

ReplyDelete