uwiiiiii Asante Nuru. Jamani watu wanajua kuremba nyumba simple but inapendeza sana, rangi zimepangiliwa vizuri hadi raha. sio pengine pink, pengine blue, pengine yellow ilimradi tafrani. sometimes inabidi kuiga kutoka majuu ila uwe umejipanga kifweza.
sio rangi tuuu hapa kuweka mavitu kibaaao ndani bila mpangilio, mara makaabti ya vyombo seating room, mara makochi ya maua maua na vitambaa vya kushona, yaani tafrani kwelikweli, lol....... this is what i calll #futurehomegoals
uwiiiiii Asante Nuru. Jamani watu wanajua kuremba nyumba simple but inapendeza sana, rangi zimepangiliwa vizuri hadi raha. sio pengine pink, pengine blue, pengine yellow ilimradi tafrani. sometimes inabidi kuiga kutoka majuu ila uwe umejipanga kifweza.
ReplyDeleteWow.....Love this amazing, beautiful decor
ReplyDeletesio rangi tuuu hapa kuweka mavitu kibaaao ndani bila mpangilio, mara makaabti ya vyombo seating room, mara makochi ya maua maua na vitambaa vya kushona, yaani tafrani kwelikweli, lol....... this is what i calll #futurehomegoals
ReplyDelete