Friday, March 4, 2016

THANK ME LATER!!


3 comments:

  1. Its true jamani. mimi ni mweupe ila sipendi rangi yangu natamani ningekuwa mweusi.

    ReplyDelete
  2. Yaani kutokana na watu kuzidi kubadilisha rangi zao mimi natamani ningekuwa mweusi maana hata kama wewe ni mweupe naturally hamna mtu anayekuelewa siku hizi utaitwa mchina tu.

    ReplyDelete


  3. Yaaaa kama wenye matako yao original watu washaharibu uhalisia kila mtu anadhani ni mchina,,,uko sahihi MDAU wa pili

    ReplyDelete